Home / Usajili wa kampuni
Usajili wa kampuni, bila makosa
Tunashughulikia maombi yote BRELA — akiba ya jina, fomu, TIN na utiifu baada ya usajili — kutoka TZS 250,000 pamoja na ada rasmi za serikali. Read this page in English.
Tunachofanya
Akiba ya jina
Tunahakiki na kuhifadhi jina la kampuni yako BRELA kabla hatujaendelea na fomu.
Maombi ORS
Tunajaza na kuwasilisha maombi kamili kwenye mfumo wa ORS ili kuepuka marudio.
TIN na utiifu
Baada ya cheti, tunashughulikia TIN na utiifu wa mwezi wa kwanza — TRA, NSSF na vitabu.
Gharama
| Huduma | Ada (TZS) |
|---|---|
| Huduma ya BRELA (jina, usajili, marejesho) | kutoka 250,000 + ada rasmi |
Ada rasmi za serikali hupitishwa kama zilivyo na huonyeshwa kando. Ada hubadilika — tunathibitisha ORS (ors.brela.go.tz) kabla hatujafile.
Maswali yanayoulizwa
Naweza kujisajili mwenyewe kwenye ORS?
Ndiyo. Mfumo wa ORS (ors.brela.go.tz) ni wa wazi na BRELA huchapisha miongozo na ada zake. Wateja hutulipa ili maombi yawe sahihi mara ya kwanza: akiba ya jina, fomu, TIN na utiifu baada ya usajili.
Inachukua muda gani?
Muda hutofautiana. Tunawasilisha maombi kamili kuepuka marudio na tunaripoti maendeleo kila wiki.
Nini baada ya usajili?
Makampuni mapya mengi huingia moja kwa moja kwenye Basic Compliance (TZS 250,000 kwa mwezi) ili TRA, NSSF na vitabu viwe sahihi kuanzia mwezi wa kwanza.
Huduma zinazohusiana
Uchunguzi wa bure wa dakika 30
Tunapitia TRA, NSSF na vitabu vyako na kukuambia cha kurekebisha kwanza na gharama yake. Bila malipo, bila shurti.
